TEKONOLOJIA : KAMPUNI YA TTCL YATWAA TUZO YA MAONYESHO YA BIASHARA SABA SABA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Jul 2014

TEKONOLOJIA : KAMPUNI YA TTCL YATWAA TUZO YA MAONYESHO YA BIASHARA SABA SABA

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. Muonekano wa Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TTCL wanaoshiriki Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa wakipiga picha ya pamoja na tuzo yao mara baada ya kutwaa tuzo hiyo.Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. 
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. 
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. 
Huduma mbalimbali kwa wateja zikiendelea ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba.Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba

KAMPUNI ya Simu Tanzania, TTCL imeshinda tuzo katika kundi la kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano, kwenye Maonesho ya 38 ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Makamy wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi ndiye aliyemkabidhi tuzo hiyo, Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu, Peter Ngota katika uzinduzi rasmi wa Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere.

Ushindi wa TTCL unatokana na ubora wa huduma zinazotolewa na kampuni hiyo katika upande wa mawasiliano ya simu na pia mawasiliano ya intaneti "DATA". TTCL imesema ushindi huo umeipa hamasa ya kuendelea kubuni bidhaa ambazo zitakuwa chachu ya ukuaji uchumi nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad