Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipata
maelezo kutoka kwa watoto wa Marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa
Waziri Mkuu wa Tanzania, Namelok Sokoine (MB) na Joseph Sokoine ambaye
ni Afisa katika Ubalozi wa Tanzania nchini Canada, kuhusiana na
maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu
na Mbunge wa Monduli,Marehemu Edward Moringe Sokoine, yatakayoadhimishwa
kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja
na marais na mawaziri wakuu wastaafu.
VIJIJI 11,837 VIMEUNGANISHWA NA UMEME –DKT. BITEKO
-
Serikali imesema hadi kufikia Mwezi, Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa
na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa
vimeungan...
30 minutes ago
No comments:
Post a Comment