WANAWAKE WAJITAMBUE : MAMA REGINA LOWASSA AWATAKA WANAWAKE KUJITAMBUA NA KUJIKUBALI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


9 Mar 2014

WANAWAKE WAJITAMBUE : MAMA REGINA LOWASSA AWATAKA WANAWAKE KUJITAMBUA NA KUJIKUBALI

DSCF3003Mgeni rasmi katika sherehe ya wanawake duniani  iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi hicho halfa iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden Moshono jijini Arusha ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani.
DSCF3007Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwakwe ni mwenyekiti wa kikundi hicho Bi.Youthness Godfrey
DSCF2993Mgeni Rasmi katika halfa ya siku ya wanawake dunia Mama Regina Lowassa akisoma hotuba huku akisisitiza wanawake kujitambua pamoja na kujikubali hali itakayosaidia wao kushiriki katika maendeleo na kuchangia pato la Taifa
DSCF2989Mwanamuziki maarufu Snura akiwaburudisha wanawake katika halfa hiyo iliyoandaliwa na kikundi cha Phenomenal Group
DSCF2985Wacheza show wa Snura wakitoa burudani
DSCF2975Wageni waalikwa wakiangalia burudani kutoka kwa mwanamuziki Snura
DSCF3012
DSCF2972Aliyevalia sare za jeshi ni Ispekta Mariam
DSCF2976Wakinamama wakionekana na nyuso za furaha katika halfa ya siku ya wanawake duniani
DSCF3015Kushoto ni Dk.Msuya ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika hospitali ya St.Thomath jijini Arusha
DSCF2992Mwenyekiti wa kikundi cha Phenomenal Women Group Youthness Godfrey akisoma risala kwa mgeni rasmi
DSCF3016Mama Regina Lowassa akiwa katika zoezi la kuwamiminia akina mama wine mara baada ya kugungua kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi cha Phenomenal Women Group
DSCF3020Kushoto Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Pamela Sioi
DSCF2997Muonekano wa baadhi ya wanakikundi  wa Phenomenal Women Group
DSCF3022Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kikundi hicho Youthness Godfrey
DSCF3023Wadau wakishow love na Pamela Sioi,mtoto wa Mama Regina Lowassa
DSCF3026Hapa wadau wakiwa katika pozi na mgeni rasmi Mama Regina Lowassa
DSCF3024kushoto ni Mmiliki wa jamiiblog akishow love na wadau

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad