Mgeni rasmi katika sherehe ya wanawake duniani iliyondaliwa na Phenomenal Women Group, Mama Regina Lowassa akikata keki kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi hicho halfa iliyofanyika jana Machi 8/2014 katika ukumbi wa World Garden Moshono jijini Arusha ambapo kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 ilishiriki kudhamini siku hiyo ya wanawake duniani.
Mgeni rasmi Mama Regina Lowassa akifungua chupa ya wine,kushoto kwakwe ni mwenyekiti wa kikundi hicho Bi.Youthness Godfrey
Mgeni Rasmi katika halfa ya siku ya wanawake dunia Mama Regina Lowassa akisoma hotuba huku akisisitiza wanawake kujitambua pamoja na kujikubali hali itakayosaidia wao kushiriki katika maendeleo na kuchangia pato la Taifa
Mwanamuziki maarufu Snura akiwaburudisha wanawake katika halfa hiyo iliyoandaliwa na kikundi cha Phenomenal Group
Kushoto ni Dk.Msuya ambaye ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika hospitali ya St.Thomath jijini Arusha
Mama Regina Lowassa akiwa katika zoezi la kuwamiminia akina mama wine mara baada ya kugungua kuashiria ufunguzi rasmi wa kikundi cha Phenomenal Women Group
Kushoto Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Pamela Sioi
Sarah Keiya Meneja masoko wa kampuni Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kikundi hicho Youthness Godfrey
kushoto ni Mmiliki wa jamiiblog akishow love na wadau
No comments:
Post a Comment