Mamia ya akina mama na wananchi wa Jiji la Mwanza wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi kwenye uwanja wa Nyamagana ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo.
Mamia ya akina mama na wananchi wa Jiji la Mwanza wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi kwenye uwanja wa Nyamagana ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo
Mamia ya akina mama na wananchi wa Jiji la Mwanza wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi kwenye uwanja wa Nyamagana ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo.
Ngoma ya asili ya kabila la Wasukuma ya Bugobogobo ikichezwa kwa umahiri mkubwa hata kumfanya Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi katika sherehe hiyo kushuka jukwaani na kuicheza na baadaye kumzawadia mtoto wa kikundi hicho kutoka Mji wa Magu wakati wa sherehe za uzinduzi wa upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza.
No comments:
Post a Comment