DIAMOND PLATNUMZ NA HEKIMA ZAKE - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Jun 2013

DIAMOND PLATNUMZ NA HEKIMA ZAKE

Skuzote ishi ukikumbuka, Maisha ni Vita, vita ambayo mwisho wake ni siku ya wewe kuingia kaburini... hivyo haupaswi kuchoka wala Kukata tamaa...Heshima, Juhudi na Maombi ndio nguzo pekee zitazokusaidia wewe kushinda Vita hii... tambua Mwenyezi Mungu ndiye Muweza na Mpaganga wa yote...!kutoka kwenye mtandao wa facebook.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad