MAMLAKA YA ELIMU (TEA) KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI KESHO ILI KUCHANGIA MABWENI YA WASICHANA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


16 Nov 2012

MAMLAKA YA ELIMU (TEA) KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI KESHO ILI KUCHANGIA MABWENI YA WASICHANA

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mheshimiwa Dkt Shukuru J. Kawambwa (Kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Rosemary Lulabuka (Kushoto) alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wasichana wa sekondari yanayotarajia kufanyika tarehe 17/11/2012.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Rosemary Lulabuka akiongea na waandishi wa habari juu ya matembezi ya hisani ambayo yanalenga kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wasichana wa shule za sekondar za kata.matembezi yatafanyika jumamosi tarehe 17 Novemba 2012.  Kuanzia Mlimani city.
 Mwanamuziki Barnabas akiongea na waandishi wa habari juu ya ushiriki wake katika kampeni na jinsi  atakavyochangia katika kampeni  ya ujenzi wa hosteli za wasichana.
Mabalozi wa hisani wa  kampeni ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wasichana  wakiwa na Meneja wa mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe Gunze (wa pili kutoka kushoto) na Msanii Barnaba katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano wa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Mh. Dr. Shukuru  Kawambwa na waandishi wa habari. Na Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad