DKT. GHARIB BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Nov 2012

DKT. GHARIB BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 21, 2012 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad