RUFAA YA GODBLESS LEMA YASOGEZWA MBELE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 2 October 2012

RUFAA YA GODBLESS LEMA YASOGEZWA MBELE

Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, ilisikilizwa na kusogezwa mbele.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozana na aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema Mbunge kutokea mahakamani ambapo rufaa yake ilisikilizwa.
Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari pamoja na Wafuasi wa Chama hicho wakitokea mahakamani.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema ikisikilizwa na kusogezwa mbele.
Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari .
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, baada ya  kusogezwa mbele.
Hili nalo linasomeka vizuri .
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakibembea juu ya gari la Mbunge.
Hili ni gari la aliekua mbunge wa CHADEMA Bw. Godbless Lema.
Kikosi cha usalama nacho kilikua kwenye msafara huo, japokuwa hapakua na kazi yeyote ya kufanya bali kuhakikisha Amani inatawala.
M4C likifuata msafara wa Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema wakitokea mahakamani.

No comments:

Post a Comment