RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI EDMONTON, CANADA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 6 October 2012

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI EDMONTON, CANADA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012



  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kabla ya  kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference).



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika  ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia zawadi ya kinyago kilichochongwa kwa jiwe toka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Edmonton, Dkt Hassan Katalambula na MC wa shughuli hiyo Dkt Sophie Yohani  katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012

Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wasanii waalikwa kutoka Tanzania Joseph Haule 'Profesa J' (kushoto) na Mzee Yusuf katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference).

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya Watanzania katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference).

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na kamati ya maandalizi  katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference).
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment