Sheria : Rais Dkt. Samia Azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama na Nyumba za Makazi ya Majaji , Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 6 April 2025

demo-image

Sheria : Rais Dkt. Samia Azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama na Nyumba za Makazi ya Majaji , Dodoma


07
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji tarehe 05 Aprili, 2025, Jijini Dodoma.
07b

07c

07d

08b

09

Majaji pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.010

010a

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji, Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
011......

011.....

011....

011..

011

011b..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania mara baada ya uzinduzi Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.

011b

011c

011d

011e

011f

012





04..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Jengo la Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Jengo la Makazi ya Majaji kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
02b

02


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.07d

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *