Kitaifa : JK Awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Rais Museveni wa Uganda leo Jijini Kampala - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 April 2025

demo-image

Kitaifa : JK Awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Rais Museveni wa Uganda leo Jijini Kampala

 

0500c5a8-25f8-4c1f-87fd-f3bd001d3bf4


Pembenzoni mwa Mkutano wa Uongozi wa Afrika wa nane jijini Kampala Uganda leo, Mheshimiwa  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kama mjumbe maalum, amewasilisha ujumbe maalum kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni kutoka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. 


Rais Museveni alimshukuru kwa ziara na kumuomba amfikishie salamu zake kwa Mheshimiwa Rais Samia na watu wa Tanzania.


No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *