Kimataifa : Rais Samia Azungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisasa Nchini China - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 5 September 2024

Kimataifa : Rais Samia Azungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisasa Nchini China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuanza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China tarehe 04 Septemba, 2024.

No comments:

Post a Comment