
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam mchana wa siku ya Jumatatu Agosti 12, 2024 Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara Benson Kigaila amesema kuwa kukamatwa kwa viongozi hao wakiwemo wanachama wa chama hicho, vijana, na waandishi wa habari ni kinyume cha sheria na taratibu za nchi hivyo kulitaka Jeshi la Polisi kuwaachia mara moja.
No comments:
Post a Comment