Matukio : Dk. Hassan Abbas Azindua Tovuti ya MISA TANZANIA , Jijini Arusha. - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Mar 2018

Matukio : Dk. Hassan Abbas Azindua Tovuti ya MISA TANZANIA , Jijini Arusha.




Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas(wa kwanza Kulia) na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari(wa kwanza kushoto) wakizindua rasmi Tovuti ya MISA Tanzania inayopatikana hapa www.tanzania.misa.org






Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas(wa kwanza Kulia) na Mwenyekiti wa MISA Tanzania Bi. Salome Kitomari(wa kwanza kushoto)pamoja na wadau mbalimbali ambao hawapo pichani wakipata maelezo kuhusiana na Tovuti ya MISA Tanzania kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa
Sengiyumva ambaye hayupo pichani.


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa MISA Tanzania Bw. Gasirigwa Sengiyumva(kulia) kulia akiendelea kutoa maelezo mbali mbali na vitu ambavyo vinapatikana katika Tovuti ya MISA Tanzania




Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa Tovuti ya MISA Tanzania Jijini Arusha.





TOVUTI INAPATIKANA HAPA


www.tanzania.misa.org

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad