Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 7 February 2018

Matukio : Ofisi ya Rais - Utumishi Yatekeleza Mwongozo wa Huduma kwa Watumishi wa Umma wenye Ulemavu



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na Bw. Abbas Mpunga kabla ya kumkabidhi Bajaji ili kumwezesha mtumishi huyo kutekeleza majukumu yake.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa tukio la kumkabidhi Bajaji kwa mmoja wa watumishi wa ofisi yake

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akikabidhi nyaraka za umiliki wa Bajaji kwa Bw. Abbas Mpunga.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akikata utepe kabla kumkabidhi Bajaji mmoja wa mtumishi wake Bw. Abbas Mpunga.

Bw. Abbas Mpunga akishuhudiwa na watumishi wenzake akiwa katika Bajaji yake mara baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.

Bw. Abas Mpunga akipongezwa na mtumishi mwenzie mara baada ya kukabidhiwa Bajaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro.

Bw. Abbas Mpunga akiwa na watumishi wenzake kabla ya kukabidhiwa Bajaji na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) itakayomuwezesha kiutendaji.

No comments:

Post a Comment