Siasa : Taswira za Uzinduzi wa Kampeni za CCM, Kinondoni - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 28 January 2018

Siasa : Taswira za Uzinduzi wa Kampeni za CCM, Kinondoni



Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimnadi kwa wananchi mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam Jumamosi.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA




Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo.




TOT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo







Ni furaha meza kuu

Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza




Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,, Stephen Wassira AKISALIMIANA NAMtulia
















Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kimara Chadema, akirudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na CCM

Waliokuwa upinzani wakijiunga na CCM

Mtulia akiitambulisha familia yake
leo.


Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa watu waliofika kuhudhuria uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, jijini Dar es Salaam .

.

Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni Maulid Mtulia akizungumza mambo mbalimbali mbele ya Wanachama wa chama hicho na Wananchi kwa ujumla mara baada kutambulishwa na kuitwa jukwaani kumwaga sera zake za kuomba kura wakati wa uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi mdogo kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam.

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kimara Chadema, Ngudu Pascal Manota akiwasalimia wananchi wa Kinondoni jioni ya leo alipokuwa akitambulishwa kwao na kurudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na CCM,pichani kati ni Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba na kulia kwake ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Stephen Wasira


Wananchi na wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo,katika viwanja vya Biafra Kinondoni jioni

No comments:

Post a Comment