Mkurugenzi wa Utekelezaji (Technical Director) wa Shirika la World Education Inc. Dr. Eliamani Laltaika akisalimiana na Mwanafunzi wa shule mahususi kwa ajili ya wafugaji wa Kimaasai O'Brien School for the Maasai kabla ya mahafali ya nne shuleni hapo Sanya Juu , Mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa Utekelezaji (Technical Director) wa Shirika la World Education Inc. Dr. Eliamani Laltaika akiteta jambo na mmiliki wa shule mahususi kwa ajili ya wafugaji wa Kimaasai O'Brien School for the Maasai kabla ya mahafali ya nne shuleni hapo Sanya Mkoani Kilimanjaro jana
Dk. Eliamani Laltaika kisalimiana na Wazazi wa wanafunzi wa Shule hiyo.
Picha ya Pamoja
Mkurugenzi wa Utekelezaji (Technical Director) wa Shirika la World Education Inc. Dr. Eliamani Laltaika akitembezwa kwenye eneo LA Shule na mmiliki wa shule mahususi kwa ajili ya wafugaji wa Kimaasai O'Brien School for the Maasai kabla ya mahafali ya nne shuleni hapo Sanya Juu, Mkoani Kilimanjaro jana.

No comments:
Post a Comment