Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani |
Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa |
Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa |
Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo |
Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea |
Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE |
Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe |
Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota |
Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa |
Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao |
Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya |
Mungu bado ni mwaminifu sana,waalikwa wa kila kwa furaha kabisa : Picha na Gwasa wa Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment