Afisa elimu Wilaya Ubungo, akizungumza wakati wa Mahafali ya 18 ya shule ya Sekondari ya Green Acres yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akipokea cheti kutoka kwa mgeni Rasmi katika mahafali ya 18 ya kidato cha 4 katika Shule ya Sekondari ya Green Acres
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akisoma Risala wakati wa Mahafali ya 18 ya Shule ya Sekondari ya Green Acres
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akicheza wakati wa mahafali ya 18 ya Sekondari ya Green Acres
Nasra Mushi akimlisha keki Mama yake , Evelyn Kanyanga katika Mahafali ya 18 ya shule ya sekondari ya Green Acres
Mwanafunzi Latifa Kanyanga akipokea Zawadi ya Laptop kutoka kwa Mama yake Evelyn Kanyanga mara baada ya Mahafali ya 18 ya shule ya Sekondari ya Green Acres
Ndugu na jamaa wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu
No comments:
Post a Comment