Matukio : Rais Dk. Magufuli Aelekea Mkoani Arusha kwa Ajili ya Ziara ya Kikazi - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Sept 2017

Matukio : Rais Dk. Magufuli Aelekea Mkoani Arusha kwa Ajili ya Ziara ya Kikazi




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya Kikazi. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad