Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Kuzindua Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi na mfumo mpya wa Huduma za Kibenki CRDB, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 26 August 2017

Matukio : Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Kuzindua Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi na mfumo mpya wa Huduma za Kibenki CRDB, Jijini Dar



Mgeni rasmi Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akisalimia na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB,Dkt Charles kimei alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kwenye hafla fupi ya kuzindua jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.

Mgeni rasmi Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akisalimia na Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kwenye hafla fupi ya kuzindua jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.

Mgeni rasmi Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akisalimia na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Crdb, Ally Laay alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kuzindua jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi,Hafla hiyo inaenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.

Baadhi ya akina mama wakiserebuka kwa pamoja kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha Wanawake kiuchumi, linalozinduliwa na Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo jijin dar,Hafla hiyo inakwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount

Mgeni rasmi Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akipitia hotuba yake kabla ya kuisoma mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kushuhudia hafla fupi ya uzinduzi wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwendaa sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.Pichani kulia ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Waziri Jenista Mhagama na kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa jukwaa la Wanawake mkoa wa Dar,Mh Sophia Mjema pamoja na Naibu Spika wa Bunge Mhe.Dkt Tulia Ackson.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Waziri Jenista Mhagama akimueleza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB,Dkt Charles kimei kabla ya uzinduzi wa wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwendaa sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama jijini Dar

Sehemu ya Meza kuu ikifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijiri kwenye uzinduzi wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama jijini Dar.

Baadhi ya akina mama wakiserebuka kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi iliokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount, linalozinduliwa na Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama jijini Dar

No comments:

Post a Comment