Elimu : Brigedia Jenerali Mbungu, Awataka askari wa SUMA JKT Guard kuwa Mabalozi wazuri wa Mapambano ya Rushwa Makazini - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 26 August 2017

Elimu : Brigedia Jenerali Mbungu, Awataka askari wa SUMA JKT Guard kuwa Mabalozi wazuri wa Mapambano ya Rushwa Makazini



Askari wa ulinzi binafsi wa Suma Jkt Guard wakila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu


Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akizungumza na askari wa ulinzi binafsi wa kampuni ya Suma JKT wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya sita kwa askari wapya wa kampuni hiyo iliyopo chini ya Jeshi la Kujenga Taifa(JKT). na kuwaasa kuwa mabalozi wazuri katika mapambano ya rushwa katika kazi yao na hasa katika ofisi watakazopangiw akufanya kazi

Mkurugenzi wa kampuni ya Ulinzi ya Suma Jkt Guard Limited, Meja Alfred Mwaijande akizungumza kabla ya kukamribisha mgeni rasmi kwa ajili ya kufunga mafunzo ya askari wa kundila sita wa Suma jkt

Kaimu Mkuu wa chuo cha Uongozi JKT Kimbiji .Meja Josephat Songita akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya askari wa Suma Jkt Guard kundi la Sita

Mkuu wa kitengo cha Operesheni na Mafunzo wa Suma Jkt Guard ,Luteni Albert Masawe akizunguma namna mafunzo hayo yalivyoendeshwa kwa mgeni rasmi

Askari wa Jeshi la Kujenga taifa akipiga ngoma wakati akiongoza gwaride la askari wa Suma Jkt Guard

Askari wa kundi la sita wanaomaliza mafunzo ya ulinzi binafsi kundi lasita la Suma Jkt Guard wakipita kwa mwendo w aukakamavu

Askari wa ulinzi binafsi wa Suma Jkt Guard wakionyesha umahiri wao wa kuchez amchezo wa Karate mbele ya mgeni rasmi Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu

wakionyesha umahiri wao wa kuchez amchezo wa Karate mbele ya mgeni rasmi Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akiwasili katika uwanja wa kufunga kozi

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akiwa katika picha ya pamoja na askari wa ulinzi binafsi wanaomaliza mafunzo yao

No comments:

Post a Comment