Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Jul 2017

Matukio : Waziri, Mwijage Aipongeza PPF kwa Kuwekeza kwenye Viwanda




Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage, (kulia), akipeana mikono na Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, leo Julai 1, 2017.

Waziri Mwijage a,kizungumza na wafanyakazi wa PPF kwenye banda la Mfuko huo.


Waziri Mwijage akipeana mikono na Afisa Uendeshaji Mwandamizi wa PPF, Bi. Pauline Msanga

Waziri Mwijage akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda lao


Meneja Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele, (kushoto), akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, (TRA), Bw. Richard Kayombo alipotembela banda la Mfuko huo

Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo

Wafanyakazi wa PPF wakiwahudumia wananchi waliotembela banda hilo

Waziri Mwijage, akiagana na wafanyakazi wa PPF baada ya kutembelea banda hilo. Kulia ni Mkuu Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Ben Mwaipaja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad