Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


14 Jul 2017

Matukio : Spika Ndugai Akutana na Rais Mstaafu wa Ireland Ofisini kwake Mjini DodomaSpika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akizungumza wakati ugeni kutoka “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya ilipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma, katikati ni Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe kutoka Taasisi hiyo Mhe. Mary Robinson na kushoto ni Mjumbe wa Taasisi hiyo Ndg. Graca Michel

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Ndg. Graca Machel (kushoto) katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma, katikati ni Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe kutoka Taasisi hiyo Mhe. Mary Robinson

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akimkabidhi Mfano wa picha ya jengo la Bunge Rais Mstaafu wa Ireland ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson katika tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Rais Mstaafu wa Ireland (katikati) ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson, kulia ni Mjumbe wa Taasisi hiyo Ndg. Graca Machel (kushoto) katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Ndg. Graca Machel (kulia) katika tukio lililofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Rais Mstaafu wa Ireland (kulia) ambae pia ni Mjumbe wa “The Elders” Taasisi inayoshughulika na Amani, Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Mhe. Mary Robinson katika tukio lililofanyika katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post Top Ad