Matukio : RC Kilimanjaro, Aipongeza PSPF kwa Kuendesha Mafunzo kwa Wastaafu Watajiwa - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


1 Jul 2017

Matukio : RC Kilimanjaro, Aipongeza PSPF kwa Kuendesha Mafunzo kwa Wastaafu Watajiwa



Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira, (kulia), akipokea kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia mpango wa hiari, (PSS), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, wakati wa semina ya wastaafu watarajiwa mkoani Kilimanjaro Juni 30, 2017.

Bw. Mayingu akitoa hotuba yake

Mhe. Anna Ngwira, Mkuu wa Mkaow a Kilimanjaro, akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa PSS

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira,akiagana na wanachama wasitaafu watarajiwa,wa mfuko wa pesheni wa PSPF,mara baada ya kufungua semina hiyo Mkoa wa Kilimanjaro Juni 30, 2017

Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro.

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSPF

Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo.

Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad