Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


14 Jul 2017

Maisha :Msiba Wa Mtanzania Prof Henslay Kabisama Nchini Marekani

WaTanzania nchini Marekani wanaomboleza msiba wa Profesa Henslay Kabisama aliyefariki huko California mwishoni mwa mwezi June

Mjane wa Marehemu pamoja na wadau kadhaa waliungana na Mubelwa Bandio katika kipindi cha NJE-NDANI kuongelea mipango ya mazishi ilipofikia sasa.

Unaweza kushiriki kusaidia gharama za kuusafirisha mwili kupitia akaunti HII ya GoFundME

Karibu uwasikilize

Post Top Ad