Filamu : Muigizaji "Cloud" Awasili kutokea Sweden - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Jul 2017

Filamu : Muigizaji "Cloud" Awasili kutokea Sweden


Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud'Akipokewa na Rais wa Shirikisho la Filamu nchini ,Simon Mwakifamba, akitokea nchini Swideni ambako anaishi kwa sasa Cloud amekuja nchini kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake ambayo ameifanya huko huko Swiden na kampuni moja inayokwenda kwa jina la Fila(4)

Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akisalimina na mmjoa wa viongozi wa timu ya Bongo Muvi Chick Mchoma mara baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Swideni

Sehemu ya Mashabiki wa Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' wakiwa na mabango katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuwasili nchini akitokea Swiden

Mke wa Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akizungumza na Vyombo vya habari.
Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akiwa na raifiki yake wa karibu na Msanii wa filamu hpa nchini ,Jacob Stephene alipofika kumlaki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nrerere jijini Dar es Salaam

Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akiwa amekumbatiana na Mtoto wake wa Kwanza mara baada ya kuwasili nchini

Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akivehswa taji la maua na Mtoto wake wa Kwanza mara baada ya kuwasili nchini

Wasasani wa kikundi cha Safi wakitoa Burudani mara baada ya msanii Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' kuwasili katika ukumbi wa Lamada

Wasasani wa kikundi cha Safi wakitoa Burudani mara baada ya msanii Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' kuwasili katika ukumbi wa Lamada

Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud'akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa filamu katika ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam na kutambulisha filamu yake

Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akiwasiliana na Naibu Meya wa wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto

Mke wa Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akizungumza na Waandishi wa Habari

wasanii mbalimbali wa filamu waliofika katika mkutano wake

Rais wa TAFF Simon Mwakifamba akizunguma wakati wa mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad