Afya : Waziri, Mhe. Ummy Mwalimu Azindua Zahanati Nguvumali ,Tanga - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 23 July 2017

demo-image

Afya : Waziri, Mhe. Ummy Mwalimu Azindua Zahanati Nguvumali ,Tanga


IMG_0166
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Zahanati ya Kata ta Nguvumali leo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said.
IMG_0171
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akisisitiza jambo kwa Muuguzi wa Afya wa Zahanati ya Nguvumali baada ya kuizindua kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo,Dkt Ally Bughe
IMG_0145
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akizungumza katika uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku
IMG_0094
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza katika halfa hiyo
IMG_0096
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza katika hadhara hiyo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga,Alhaj Mussa Mbaruku
IMG_0133
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza katika halfa hiyo
IMG_0031
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akisalimiana na madiwani wa Jiji la Tanga mara baada ya kuwasili katika zahanati hiyo kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapa Selebosi
IMG_0160
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kushoto katikati ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
IMG_0194Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kuzindua zahanati hiyo leo
IMG_0200
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akipanda mti kwenye zahanati hiyo mara baada ya kuzinduliwa na Waziri Ummy.
IMG_0101
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
IMG_0108
Waheshimiwa madiwani kutoka Kata mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huoIMG_0110
Wananchi wakifuatilia uzinduzi huo
IMG_0112
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
IMG_0119
Msanii wa maigizo mkoani Tanga ,Dkt Njau akionyesha umahiri wake katika uzinduzi huo


Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *