Uchumi : Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Jijini Dodoma - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Tuesday, 29 April 2025

Uchumi : Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Jijini Dodoma



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.

No comments:

Post a Comment