Zanzibar : Rais Dk. Shein Atunuku Nishani - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 29 June 2017

Zanzibar : Rais Dk. Shein Atunuku Nishani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk,Ali Mohammed Shein akimvisha nishani ya Mapinduzi Bwana Aboud Talib Aboud katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi Dk,Ali Mohammed Shein katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na waliotunukiwa nishani mbalimbali katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.

Baadhi ya waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.

Baadhi ya Waheshimiwa waliohudhuria katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja. 

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akipeana mikono na Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Mohammed Bilal katika hafla ya kutunuku nishani ya Mapinduzi,nishani ya Utumishi uliotukuka na nishani ya Ushujaa iliofanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Baadhi ya Viongozi wa Kitaifa pamoja na Wananchi mbali mbali wakishuhudia na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitunuku Nishani mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo
Viongozi wakisiama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,shuhuli iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mbele) pamoja na Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mbali mbali ambao leo wamepewa Nishani mbali mbali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,NIshani ya Mapinduzi,Viongozi na wananchi wenyesifa maalum,Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa

Baadhi ya Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi wakiwa katika Sherehe za Kutunuku nishani iliyofanyika leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni NIshani ya Mapinduzi,Nishani kwa Viongozi na wananchi wenyesifa maalum,Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017
Baadhi ya Viongozi na Wananchi mbali mbali ambao leo wamepewa Nishani mbali mbali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,NIshani ya Mapinduzi,Viongozi na wananchi wenyesifa maalum,Nishani ya Utumishi Uliotukuka,Watumishi wa Serikali,Nishani Watumishi wa Idara Maalum za SMZ na Nishani ya Ushujaa,[Picha na Ikulu.] 29/06/2017.

No comments:

Post a Comment