Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3 - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Jun 2017

Michezo: Malinzi ,Mwesigwa Warudishwa Rumande Mpaka Julai 3




Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka yao kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwe Kugushi nyaraka za shirikisho hilo pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya laki tatu za kimarekani.

Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiwa na Katibu wake , Celestine Mwesigwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walisomewa mashtaka ya kadhaa ya matumizi mabaya ya ofisi ikiwa nipamoja na kutakatisha pesa zaidi ya laki tatu za kimarekani. washtakiwa hao wamepelekwa mahabusu kekeo kutokana na kesi hiyo kutokuwa na dhamana hivyo wataletwa tena mahakamani mpaka julai 3




Rais wa Simba ,Evance Aveva na Kaimu wake ,Godfrey Nyange(KABURU) wakiongea na aliyekuwa katibu wa Simba Evodius Mutawala katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo walipandishwa kwa mashtaka tofauti ikiwemo la matumizi mabaya ya ofisi

Haji Manara , Said Tully na wadau wengine wa mpira wakiwa ndani ya mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo

Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini

Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini

Wadau wa mpira wakiwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufatilia kesi inayowakabili viongozi wa Soka hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad