Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri
Viongozi na walimu wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), wakishangilia baada ya kumaliza mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kujiamini, kujitambua na ujasiri katika kambi iliyofanyika hivi karibuni eneo la Mombasa, Dar es Salaam. Zaidi ya 36 kutoka mikoa mbalimbali walishiriki kwenye mafunzo hayo. Pia katika mafunmzo hayo yaliyofanyika kwa wiki moja yalihudhuriwa na viongozi kutoka nchi za Uganda, Rwanda na Madagascar
Mgeni rasmi katika hafla ya kufungakambi hiyo yalifanywa na Katibu Mkuu wa TGGA Tanzania, Grace Shaba, ambaye aliwaasa kuyatumia vizuri mafunzo hayo kwenda kuanzisha kambi za kuwafundisha wanachama mikoani wanakotoka. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOGBaadhi ya wahitimu wa mafunzo hayo wakiruka kwa furahaKatibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akimkabidhi cheti mmoja wa walimu waliohitimu mafunzo hayo.Grace Shaba akimkabidhi m cheti mmoja wa wahitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Jestina PhilipGrace Shaba akimkabidhi cheti Makamu Mwenyekiti wa TGGA Mkoa wa Lindi, SharifaGrace Shaba akimkabidhi cheti Happy wa Makao Makuu ya TGGA Dar es Salaam
Mwalimu wa Girl Guides , Valentina akikabidhiwa chetiKiongozi wa Girl Guides wa TGGA, Makao Makuu, Rehema Kijazi akipokea cheti kutoka kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Grace Shsba. Katikati ni Kamishna Rose.Michelle kutoka Rwanda akifurahi baada ya kukabidhiwa chetiKiongozi wa Girl Guides kutoka Madagascar akipokea chetiKatibu wa TGGA Mkoa wa Lindi, akipokea chetiKiongozi kutoka Tanga, akipokea chetiTwarhiya Hussein kutoka Lindi mtoto pekee aliyehitimu mafunzo hayo na kufanya vizuri, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba.
Rachel Baganyila kutoka Uganda akifurahi kupokea chetiNi wakati wa kucheza ngoma


About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply