Utalii /Picha : Taswira Mbalimbali ya Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


31 May 2017

Utalii /Picha : Taswira Mbalimbali ya Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Jijini Arusha
Banda la Waandaaji wa Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017 (TATO)
Mkurugenzi wa TATO Mhe. Sirili Akko (kushoto) akizungumza na Wakurugenzi wa Orange Media Walter Emanuel na Daniel walivyotembelea Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.
Bidhaa (Viatu) vinavyotengenezwa kutoka Magereza ya Karanga, Moshi

Walter Emmanuel kutoka Orange Media alivyotembelea Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Arusha.

Mkurugenzi wa TATO Mhe. Sirili Akko Akizungumza machache na Mkurugenzi Orange Media Co. Ltd Bw. Walter Emmanuel katika Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.

Wakurugenzi wa ORANGE MEDIA Daniel na Walter walivyotembelea Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Orange Media Walter Emmanuel akipozi kwenye kiti kinachotengenezwa na Magereza ya Arusha, alivyotembelea Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.

Mkurugenzi Mwenza wa Orange Media Daniel, akipata maelezo kuhusu viatu vinavyotengenezwa na Magereza ya Karanga,Moshi
alivyotembelea Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.

Mkurugenzi wa kampuni ya Wendy Vee Bw. Wilson John, inayojishughulisha na kutengeneza Urembo za Taa katika Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.

Mkurugenzi wa kampuni ya Wendy Vee Bw. Wilson John akizungumza na mtoto aliyetembelea banda lake


Mkurugenzi wa kampuni ya Wendy Vee Bw. Wilson John akitoa melekezo kwa Wakurugenzi wa Orange Media Walter na Daniel

Mkurugenzi wa kampuni ya Wendy Vee Bw. Wilson John akinogesha banda lake kwa nakshi za Bubbles

Tukiwa na Mhe. Lazaro Nyalandu katika Banda la Wendy Vee.


Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog ,Gadiola Emanuel akijadili jambo na Mkurugenzi wa Orange MediaDk. Elifuraha Laltaika akipiga picha na rafiki yake alivyotembelea Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR 2017, Kisongo Jijini Arusha.
Kwa Maelezo zaidi kuhusu Orange Media ,Picha ,Print ,Graphics , Website, Canvas na mengine mengi Piga 0755 643 633 , 0683 113 737 na 0718 036 654.

Post Top Ad