Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakifatilia Mkutano huo wakatiMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akitoa taarifa ya matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka uliopita. Mkutano huo unafanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akiwasilisha taarifa ya matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka uliopita, katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB,unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB PLC, Ally Hussein Laay akiwasilishataarifa ya Mwaka na Matokeo ya Kifedha ya Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka ulioishia Disemba 2016, katikaMkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Meza kuu katika katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akitoa muongozo kwawajumbe wa Mkutano huo,unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajone akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Mkutano huo,unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment