Select Menu

Matukio

News

Newspapers

Nishati

Jamii

Sports

News /Arusha

Technology

» » » » » Matukio : TEA Yakabidhi Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari ya Pugu
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es Salaam (katikati) Kaimu Mkurugenzi TEA, Dk. Erasmus Kipesha, na Kaimu Mwanasheria TEA Igenge Edwin. (Picha na Francis Dande).

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela, akizungumza katika makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA Graceana Shirima (kulia), Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, akimkabidhi baadhi ya nyalaka Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki Shirika la Nyumba la Taifa, Hassan Mohamed, katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam.Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa TEA, Sylvia Lupembe akijadiliana jambo na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Pugu wakati wa hafla hiyo.


Baadhi ya wadau wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi (kushoto), akifafanua jambo katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, wakikagua moja ya jengo la Shule ya Sekondari Pugu, kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Msongela Palela, Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Graceana Shirima, akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo Wilaya ya Ilala Dar es Salaam (katikati) Kaimu Mkurugenzi TEA, Dk. Erasmus Kipesha, na Kaimu Mwanasheria TEA Igenge Edwin. (Picha na Francis Dande).

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Msongela Palela, akizungumza katika makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam (kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA Graceana Shirima (kulia), Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Pugu, Jovinus Mutabuzi.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Graceana Shirima, akimkabidhi baadhi ya nyalaka Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji Miliki Shirika la Nyumba la Taifa, Hassan Mohamed, katika hafla ya makabidhiano ya Mradi wa Ukarabati wa Shule ya Sekondari Pugu, iliyopo wilaya ya Ilala Dar es Salaam.

About Gadiola Emanuel

Freelance Journalist | Photographer | Blogger | ICT |PRO | Social Media Scholar. Check me on | Instagram: @wazalendo25blog | Twitter : @wazalendo25 | Facebook: Wazalendo 25 Blog
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply