Chadema Yawatimua Madiwani Wake Watano Mkoani Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 7 August 2011

Chadema Yawatimua Madiwani Wake Watano Mkoani Arusha

 Katibu Mkuu Wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa



Hatimaye kwa ujasiri bila woga wala kulindana, kamati kuu ya Chadema imewatimua madiwani wake watano mkoani Arusha ambao walikiuka maagizo ya chama na kuingia muafaka kinyemela na CCM, kisha wakapewa vyeo vya unaibu Meya na kamati mbili za kudumu.
Hongera CHADEMA hayo ndiyo maamuzi ya kweli kwa maana nyie mliandamana Arusha kupinga mfumo potofu uliyomuweka Meya madarakani na si kupewa cheo cha unaibu Meya na kamati, Bila shaka wakazi wa Arusha watawaelewa na kuwapa tena viti hivyo.

No comments:

Post a Comment