Michezo : Simba SC Yaishinda timu ya Madini SC kwa Bao 1 - - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


19 Mar 2017

Michezo : Simba SC Yaishinda timu ya Madini SC kwa Bao 1 -

 Timu ya Simba SC ya Dar es Salaam imeifunga kwa taabu timu ya Madini SC ya Arusha kwa Goli moja kwa Sufuri katika Dakika ya 60 kipindi cha pili , goli lililofungwa na Mavugo baada ya beki wa Madini kujichanganya na kipa ndipo Mavugo kaupitisha mpira juu yao na kwenda Moja kwa moja Golini.Mchezo huo ulichezwa katika Uwanja wa KumbuKumbu wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha Leo tarwhe 19 Machi, 2017.
MMgeni Rasmi akikagua timu zote Mbili , Mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Gambo alikuwa kwenye Majukumu mengine.


Post Top Ad