Ubunge EAC : Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda achukua fomu kugombea ubunge wa Bunge la Afrika mashariki - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Mar 2017

Ubunge EAC : Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda achukua fomu kugombea ubunge wa Bunge la Afrika mashariki





Bi.Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akikabidhiwa fomu na Bw. Said Bakari wa Idara ya Uhusiano wa kimataifa katika makao makuu ya CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.




Bi. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, mmoja wa wagombea ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki akitoka nje baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea nafasi hiyo makao makuu ya CCM mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam. Bi Kaganda alifika hapo akiwa peke yake na bila mbwembwe akiwa na imani kwamba dhamira yake ya kusimamia na kutetea maslahi ya kina mama na watoto katika jamii ni agenda yake itayomsimamia katika kinyang'anyiro hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad