Matukio : Polisi Kilimanjaro Yanasa Silaha ,Dawa za Kulevya na Viroba Vilivyopigwa Marufuku - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Mar 2017

Matukio : Polisi Kilimanjaro Yanasa Silaha ,Dawa za Kulevya na Viroba Vilivyopigwa Marufuku





Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandaizi wa Jeshi la Polisi ,Wilbroad Mutafngwa akionyesha silaha zilizomakamatwa pamoja na Dawa za Kulevya aina ya Mirungi na Bhangi.

Misokoto ya Bhangi iliyokamatwa.

Dawa za kulevya aina ya Mirungi iliyokamatwa.

Silaha aina ya Bastola zilizokamatwa na jeshi hilo.

Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa ya Kamanda wa Polisi,(hayupo pichani.)

Mfanyabiashara wa vinywaji kwa jumla ,Gerald Kimario akiwa amebeba boksi la Pombe iliyofungwa katika vifungashio vya Plastiki baada ya jeshi la Polisi kukuta bidhaa hizo katika ghala lake la kuuzia bidhaa zake.





Mkaguzi wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Chakula na Dawa,William Mhifadhi akitizama Pombe iliyopigwa marufuku ikiwa katika vifungshio vya plastiki.

Sehemu ya Vifungashio vya Plastiki vya Pombe viivyoppigwa marufuku hivi karibuni.

Watuhumiwa wa matukio ya usafirishaji wa Dawa za kulevya pamoja na Unyang'anyi wakiwa mikononi mwa jeshi la Polisi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutfungwa akionesha gari lililokamatwa likiwa na mizigo ya Dawa za kulevya aina ya Milungi ,wahusika wakijaribu kuisafirisha.


Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad