Matukio : Mbunge Atembelea Ujenzi wa Mfereji unaojengwa kukabiliana na Adha ya Mafuriko, Magaoni - Tanga - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


14 Mar 2017

Matukio : Mbunge Atembelea Ujenzi wa Mfereji unaojengwa kukabiliana na Adha ya Mafuriko, Magaoni - Tanga



Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo.

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akisisitiza jambo kwa mafundi wanaoendelea na ujenzi wa mfereji wa magaoni kwa ajili ya kupitishia maji ya mvua ikiwa ni mpango madhubuti wa kukabiliana na adha ya mafuriko nyakati za mvua.

Kazi zikiendelea kama inayoonekana kwenye eneo hilo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa tatu kutoka kushoto akisisitiza jambo kwa msimamizi wa mradi huo Ephahim Lucas wakati alipotembelea ujenzi wa mfereji huo ili kuona kasi yake ya utendaji kama inakidhi viwango.


Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitazama namna mafundi wakiendelea na uchimbaji wa mfereji mkubwa kwa ajili ya kupitisha maji ya mvua ikiwa ni mpango mkakati wa kuondokana na adha ya mafuriko nyakati za mvua

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitazama ujenzi wa mfereji huo kulia ni msimamizi wa mradi huo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye mfereji huo kwa ajili ya kuukagua wakati alipofanya ziara ya kushtukiza mapema leo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema leo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema leo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kulia akiwa na msimamizi wa mradi huo akikagua baadhi ya maeneo ili kuona namna unavyojengwa

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbarukuakiwa na msimamizi wa mradi huo wakitembelea kwenye mfereji ambao utatumika kupitisha maji yatakayojaa kwenye makazi ya wananchi wakati wa mvua

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye moja ya chemba zilizopo kwenye ujenzi wa mfereji huo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mradi huo mara baada ya kuutembelea leo kuona namna ujenzi wake unavyoendelea. Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad