Matukio : Agizo la Waziri ,Dk. Mwakyembe Lafutwa na Rais Dk. Magufuli - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 17 March 2017

Matukio : Agizo la Waziri ,Dk. Mwakyembe Lafutwa na Rais Dk. Magufuli


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari Mkoani Dodoma kuhusiana na kufuta agizo lililotolewa jana na Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Wananchi wanaohitaji kufunga ndoa kuanzia mwezi Mei mwaka huu kuwa na vyeti vya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Magufuli ameagiza utaratibu wa awali uendelee kutumika kwasababu wananchi wengi wa Tanzania hawana vyeti, hivyo wangekosa haki hiyo ya kufunga ndoa. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana. PICHA NA IKULU

Rais Dk. Magufuli Afuta agizo lililotolewa na Waziri Mwakyembe la kuwa na vyeti vya Kuzaliwa ndipo uoe au uolewe.

No comments:

Post a Comment