Matukio : Anna Abdallah Apongezwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Feb 2017

Matukio : Anna Abdallah Apongezwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA



Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro baada ya kuchaguliwa Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA NA RICHARD MWAIKENDAKAMANDA WA MATUKIO BLOG)


Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto),Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro wakipiga makofi wakati wa mkutano huo wa kumtambulisha Anna.

Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Mjumbe wa Bodi hiyo, Zakia Meghji.

Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba (kulia) akimpongeza Anna Abdallah.

Mary akimpongeza Anna Abdallah

Wakiwa na furaha kutoka kushoto ni Grace Makenya, Anna Abdalah, Profesa Martha Qorro na Hangi

Baadhi ya Girl Guids wakiwa katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad