Zanzibar : Rais Dk. Shein Azindua vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

5 Jan 2017

Zanzibar : Rais Dk. Shein Azindua vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena na Mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari Bw.Salmin Senga

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja.

Mashine ya Reach ​Stacker ​ yenye uwezo wa kunyanyua Tani
​45 ikionesha namna inavyoweza kufanya kutoa huduma Makontena baada ya kushushwa ​ katika Meli na kupanga sehemu ya kuhifadhia (Container Yard) mara baada ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja

Mashine ya Mobile Harbour Crane LHM 280 yenye uwezo wa kunyanyua Tani 64 ikionesha namna inavyoweza kufanya kazi katika kushusha Makontena katika Meli pia na kupanga sehemu ya kuhifadhia (Container Yard) mara baada ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (ku
​shoto) alipo
​fuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma baada ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari Bw.Salmin Senga.

Baadhi ya wafanyakazi katika Shirika la Bandari wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwasha Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa kunyanyua Tani 45 wakati alipokuwa akikagua Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi rasmi alioufanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Baadhi ya Wanyakazi wa Shirika la Bandari na wadau mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
​hayupo pichani ) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad