Matukio /Nishati : Majaliwa Afanya ziara kwenye Mgodi wa Liganga - Ludewa - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 26 January 2017

demo-image

Matukio /Nishati : Majaliwa Afanya ziara kwenye Mgodi wa Liganga - Ludewa


RG1A4608
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi la Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Samuel Nyantahe baada ya kuwasili kwenye ueneo la mgodi wa Liganga wilayani Ludewa kukagua maendeleo ya hatua muhimu zitakazowezesha kazi uchimbaji chumakuanza haraka.
RG1A4658
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Eric Mwingira kuhusu sampuli ya chuma kilichogunduliwa katika mgodi wa Liganga wakati alipotembelea mgodi huo Januari 26, 2017.
RG1A4668
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Naibu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Eric Mwingira kuhusu sampuli ya chuma kilichogunduliwa katika mgodi wa Liganga wakati alipotembelea mgodi huo Januari 26, 2017.
RG1A4706
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mlima utaoelezewa na watalaamu kuwa uana hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea mgodi wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa Januari 26, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
RG1A4720
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezewa na watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea mgodi wa chuma wa Liganga wilaya Ludea Januari 26, 2017. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Samuel Nyantahe.
RG1A4725
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezewa na watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilaya Ludea januari 26, 2017. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Samuel Nyantahe.
RG1A4732
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo lenye mlima anaoelezewa na watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa januari 26, 2017. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Samuel Nyantahe na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
RG1A4739
RG1A4740
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikaguaeneo lenye mlima anaoelezewa na watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea eneo la mgodi a wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa januari 26, 2017. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Taifa (NDC), Samuel Nyantahe na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka
RG1A4746
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea eneo lenye mlima anaoelezea na watalaamu kuwa una hazina kubwa ya madini ya chuma wakati alipotembelea eneo la mgodi wa chuma wa Liganga wilayani Ludewa Januari 26, 2017.
RG1A4753
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuhia wimbo wa kikundi cha ngoma cha kijiji cha Mundindi wialyani Ludewa wakati alipokwenda kijijini hapo kukagua maendeleo ya mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017.
RG1A4769
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mundindi wialyani Ludewa baada ya kutembelea mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017.
RG1A4764
Wanawake wa kijiji cha mundindi wilayani Ludewa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia baada ya kukagua mgodi wa chuma wa Liganga Januari 26, 2017.
RG1A4707
RG1A4708
Mlima wenye mwamba ambao watalaamu wa madini wameeleza kuwa kwa zaidi ya asilimia 60 una madini ya chuma katika eneo la Liganga lililotembelewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Januari 26, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *