Habari : Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole Atembelea ofisi za Magazeti Mbalimbali - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Jan 2017

Habari : Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole Atembelea ofisi za Magazeti MbalimbaliKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, amefanya ziara ya kikazi katika Vyombo vitatu vya Habari vya Kampuni za Uhuru Publications Ltd, Wachapishajiwa Magazeti ya Uhuru,Mzalendo na Burudani, Peoples Media ya Uhuru FM na New Habari Corporation, Wachapishaji wa Magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba. Pichani, Polepole akizungumza na Wafanyakazi na viongozi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd, wakati wa ziara hiyo.

Polepole akiingia katika Ofisi za Uhuru Publications Ltd, zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Kaimu Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Gabriel Athuman

Polepole akimsalimia Suleiman Jongo alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo.

Polepole akimsalimia Grace alipokuwa akisalimia wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo.

Polepole akimsalimia mmoja wa wafanyakazi wa Uhuru Publications Ltd, baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kampuni hiyo.

Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Ramadhani Mkoma (kushoto) akimtambulisha baadhi ya Viongozi wa UPL kwa Polepole

Polepole akifafanua jambo alipokuwa akizungumza Ofisi kwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL

Polepole (kulia) akizungumza na Kaimu Mhariri Mtendaji Ramadhani Mkoma (kushoto) alipokuwa katika ziara hiyo.

Wafanyakazi wa UPL wakisimama kumlaki Polepole alipoingia kwenye chumbacha habari ili uzungumza nao

Katibu wa NEC, Itkadi na Uenezi Polepole akizungumza na wafanyakazi wa UPL
UHURU FM

Katibu wa NEC Itkadi na Uenezi, Humphrey Polepole akipanda ngazi kuingia katika Ofisi za Uhuru FM 

Kaimu Mkurugenzi wa Uhuru FM, Angel Akilimali akimpa Polepole kitabu cha wageni ili asaini

Akilimali akitoa maelezo machache kumkaribisha Polepole

Akilimali akimkabidhi Polepole taarifa kuhusu Uhuru FM

Baadhi ya Maofisa Kutoka Makao Makuu ya CCM, na wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa katika Ofisi ya Akilimali

Polepole akiwa tayari kuzungumza na Wafanyakazi wa Uhuru FM

Akilimali akitambulisha ugeni wa Polepole kwa wafanyakazi wa Uhuru FM

Polepole akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM

Wafanyakazi wa Uhuru FM wakimskiliza Polepole

Wafanyakazi wa Uhuru FM wakimsikiliza Polepole
NEW HABARI CORPORATION

Mhariti Mtendaji wa New Habari Corporation Absalom Kibanda akimkaribisha Polepole katika Ofisi za Kampuni hiyo, Sinza jijini Dar es Salaam

Polepole akimsalimia Msanifu wa Habari wa kampuni hiyo, Hamis Mkotya

Polepole akimsalimia Mwandishi wa siku nyingi Mzee Makaranga

Polepole akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa New Habari Corporation

Baadhi ya wafanyakazi wa New Habari Corporation wakiwa wamesimama kumshuhudia Polepole

Polepole akiondoka katika Chumba cha Habari cha New Habari Corporation

Polepole akimsalimia Mhariri Mkuu wa gazeti la Mtanzania

Kibanda akizungumza na Polepole katika Ofisi za New Habari Corporation

Deus Mhagale na mfanyakazi mwenzake wakimfurahia mpigapicha aliyefuatana na Polepole

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole akifafanua jambo katika mazungumzo na Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation Absalom Kibanda. (Picha zote na Bashir Nkoromo)

Post Top Ad