Matukio : Kongamano la Vilabu vya Umoja wa Mataifa (UN) Lafana Tanga - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Tuesday, 20 December 2016

demo-image

Matukio : Kongamano la Vilabu vya Umoja wa Mataifa (UN) Lafana Tanga


DSCN1437
Tanga, WANAFUNZI wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa kutoka vyuo Vikuu na Shule za Sekondari na Msingi kutoka Mikoa mbalimbali nchini wamekutana Tanga kujadili mambo mbali mbali yahusuyo shughuli za Umoja wa Mataifa.

Wanafunzi hao walijadili mambo hayo yakiwemo Demokrasia na Utawala bora Barani Afrika pamoja na changamoto za Raia katika nchi zenye machafuko. Pia walijadili uchafuzi wa mazingira kwa nchi zenye viwanda na uharibifu wa mazingira ya bahari kwa baadhi ya viwanda kumwaga sumu baharini.


Akizungumza katika kongamano hilo, Mlezi wa (YUNA) Mkoa wa Kilimanjaro, Fransiss Shelutete, amezitaka Serikali nchi za Afrika kuwachukulia hatua kali uchafuzi wa mazingira .
DSCN1504
Mwenyekiti wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa (YUNA) nchini Rahim Nassir, akizungumza kwenye kongamano la vilabu vya umoja wa Mataifa lililowashirikisha wanafunzi vyuo vikuu na kufanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga .DSCN1461
Wanachama wa vilabu vya Umoja wa Mataifa (YUNA) kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakifuatilia kongamano lililohusisha wanafunzi wa vyuoni na Shule za Sekondari na Msingi na kufanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Tanga
DSCN1471
DSCN1478
DSCN1510 Viongozi wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa UN kutoka Mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama kutoka maeneo mbalimbali nchini.DSCN1513
DSCN1470
Mratibu wa klabu ya Umoja wa Mataifa (YUNA) Mkoa wa Kilimanjaro, Fransisis Shelutete, akizungumza kwenye kongamano la Vilabu vya Umoja wa Mataifa kutoka Mikoa mbalimbali nchini na kufanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Tanga.Blog ya kijamii tangakumekuchablog 0655 902929

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *