Siasa : Mama Shein afanya ziara Kisiwani Pemba Kuzungumza na Wanawake wa UWT - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


6 Nov 2016

Siasa : Mama Shein afanya ziara Kisiwani Pemba Kuzungumza na Wanawake wa UWT


 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa UWT Wilaya ya Micheweni alipowasili katika Kituo cha Walimu Skuli ya Wingwi.
 WANAWEKE wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Kituo cha Walimu Wingwi Pemba.
  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama  Mwanamwema Shein akiwasili katika  mkutano wake na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukrani kwa kuwachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi Mkuu uliopita.
 WANAWAKE wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama  Mwanamwema Shein,wakati wa mkutano wake na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukrani kwa kuwachagua wagombea wa CCM katika uchaguzi Mkuu uliopita.
 MWENYEKITI wa UWT Mkoa wa Kaskazini Pemba Bi Saada Thani akizungumza machake kabla ya kumkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kuzungumza na Wanawake wa Wilaya ya Micheweni kutowa shukrani zake kwa kuichagua CCM katika uchaguzi mkuu uliopita
 MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman akitowa nasaha zake kwa Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa Mkutano wa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kutowa shukrani kwao
 MKE wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Muasisi wa Umoja wa Wanawake Mama Fatma Karume akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Walimu Wingwi Micheweni Pemba kutowa shukrani kwa Wanawake wa Pemba.
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukraza kwa kuwapigia kura Wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu uliopita, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Walimu Skuli ya Wingwi Micheweni.  
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukraza kwa kuwapigia kura Wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu uliopita, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Walimu Skuli ya Wingwi Micheweni
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukraza kwa kuwapigia kura Wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu uliopita, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Walimu Skuli ya Wingwi Micheweni.(Picha zote na Othman Maulid) 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad