Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson
(kulia), wa timu ya Bunge akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake
walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa
netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Nani Kunyakua Ushindi Leo?
-
BADO mbilinge mbilinge za mechi za Kimataifa zinaendelea ambapo wakubwa
kibao wanashuka Dimbani kuhakikisha wanaondoka na pointi 3. Je leo hii nani
at...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment