Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na
Masoko katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016
kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Uongozi wa Wizara ya
Biashara,Viwanda na Masoko katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka
2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba
2016 kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja. Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akitoa maelezo wakati wakujadili vifungu katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Balozi Ali Abeid Aman Karume akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi akitoa mchango wake katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
Wakuu wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),
Baadhi ya maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani), [Picha na Ikulu.]

No comments:
Post a Comment